22.11.13

Thursday, August 05, 2010

JIACHIE NA CAMERA YA DJ CHOKA @JAJOS SALOON SINZA

Midam hii niko kwenye saloon ya dada zangu maeneo ya Sinza Mori inayojulikana kwa jina la Jajos Saloon....
Kiukweli nimefurahi sana kukutana na dada zangu hawa, kuanzia kushoto ni Jajos Mwenyewe na kulia kwangu ni Shemu langu la ukweli Mamuu.

4 comments:

Anonymous said...

Oops! you look good.. i love the colors( back ground)

Anonymous said...

Jajos umependeza, ila sasaunanenepa sana usijiachie utaharibika. Lol!

Anonymous said...

huyu dada kapendeza na tatoo yake jamani...choka tuambiane ukweli bwana hao dada zako kweli au.....

Anonymous said...

Jajossss uko juu kama mawingu.Lv u dia.