22.11.13

Tuesday, August 03, 2010

NA HUYU NDIYE ATAKAYESABABISHA KWENYE FIESTA YA DAR ES SALAAM KWA MWAKA 2010 RRRRRRRRRH

Lil Kim

Kundi la pili ni wasanii kutoka Ivory Cost wale walioimba Alhaji wanaitwa RAMATOULAYE

7 comments:

Anonymous said...

......Ivery Cost wale walioimba Alagi....siyo Alagi ni Alhaji - alhaji

Anonymous said...

Choka!

Sio Ivery Cost, ni Ivory Coast.

Rekebisha hapo

Anonymous said...

Hawa Watu vipi mbona wanaleta wasanii waliochoka?

Anonymous said...

oyaa Choka hiyo nchi ya Ivery Cost ndio wapi?
mdau Rudi shule.

Anonymous said...

hao bracket wameimba yori yori na walioimba Alhaji wanaitwa Ramatoulaye

Anonymous said...

Choka sawazisha hapo sio Ivery cost ni Ivory Coast plz kabla ya kupost ingebidi uwe unapitia kwanza maelezo yako.

Anonymous said...

tusimlaumu...unajua sie wabongo kizungu sometime tuna andika vile kinavyo sound