22.11.13

Sunday, August 08, 2010

YALIYOJIRI JANA KWENYE FACEBOOK PARTY

Jana nilikuwa pale Mbalamwezi kwenye facebook party na nilifurahi kukutana na washkaji ambao nimarafiki zangu kwenye facebook. Hapo juu tisheti zilikuwa zikiuzwa zenye nembo ya facebook

Washkaji wakipunga upepo kwenye ufukwe wa bahari ya hindi

hapa walikutana watu wawili wenye majina yakufanana...mimi naitwa HUGOLINE na mwenzangu anaitwa HUGO.

Michael Mlingwa, DJ Choka & Hugo

Wengine walikuwa marafiki mpaka wakaamua kufungana kamba kabisa hakuna kuachana

Dj Choka & Salma King

Choka mtamboni...

Zawadi mbalimbali zilikuwa zikitolewa na JACK DANIEL'S

1 comment:

gillsant said...

dah mi nimeipenda hio ya kamba..