22.11.13

Tuesday, September 07, 2010

GODZILLA KING OF SALASALA AJA NA GODZILLA INC

Msanii wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Godzilla King of Salasala ameanzisha lebo yake inayokwenda kwa jina la Godzilla Inc!
Zilla amesema lebo hiyo itakuwainasupport wanao chana lakini hawajapata nafasi bado! d doesn't matter where you from as long as una kipaji unaingia studio na nasupply mzigo! jipange.

3 comments:

Anonymous said...

BWANA GODZILLA NIKUSAIDIE KIDOGO. TANZANIA HATUTUMII "INC" WHICH MEANS "INCORPORATED" KWENYE KAMPUNI ZETU. HUO MFUMO NI WA KIMAREKANI.SISI TUNA "LIMITED" "ASSOCIATES" (PARTNERSHIP), TRUST, ETC. HATA KENYA NA UGANDA HAWATUMII "INC" MAANA NA WAO NI "COMMONWEALTH". SASA HIYO KAMPUNI YAKO KAMA UNATAKA KUIITA "INC" ITABIDI UKAFUNGULIE MAREKANI MZEE, UCHAGUE STATE, NY, DC, LA, ETC, TU HALAFU UKAIANDIKISHE HUKO

Anonymous said...

Oya we anonymous hapo juu,
wabongo bwana,just because umeshawahi kwenda USA, haimaanishi una majibu yote. na hapo umeonesha ni jinsi gani we ni mvivu wa kufikiri. Ungechukua muda ukaongea na Godzilla mwenyewe kabla ya kuandika hii comment ungejiepusha na ka-aibu ka kukurupuka. What if Godzilla alimaanisha "International Concepts" (INC) na hakumaanisha hiyo unayoitaka wewe. Fikiria nje ya box. peace am out.

Anonymous said...

Godzilla anajua...The Fact that ana rap english inafanya his music more exciting and fun...BIGUP ZIRRRAAA!!