22.11.13

Thursday, September 16, 2010

NAKAAYA ARUDISHA KADI YAKE YA CHADEMA.

MSANII WA BONGO FLEVA ANAYEJULIKANA KWA JINA LA NAKAAYA AMERUDISHA KADI YAKE YA CHADEMA NA AMEINGIA CCM.
NAKAAYA AMERUDISHA KADI HIYO KWENYE KAMPENI YA JAKAYA KIKWETE ILIYOFANYIKA LEO HII PALE ARUSHA.

12 comments:

Anonymous said...

HUYU NAE HAJIJUI NINI ANATAKA..SIA LIJIFANYA KUPONDA CCM NA MPAKA AKATAKA SIJUI KUGOMBANIA UDIWANI..HEMBU ATUTOLEE NJAA ZAKE KULE

Anonymous said...

anboa, hizo njaa tuuu, i was her fan sasa nafuta vijinyimbo vyake vyote.........

Anonymous said...

Kweli amechanganyikiwa na ajielewei!
Sio ajabu alitemwa na label yake ya music sbb badala ya kuangaika na music akachanganya mambo ya siasa kupita kiasi na sasa ametoka Chadema anaenda pabaya!

Wanamusic wa TZ ni tamaa tu awajuhi wanachofanya, politics walitakiwa kumuunga mkono kiongozi na sio Chama chochote awaangalii kupoteza washabiki wao.

Anonymous said...

Kisusio cha vigogo wa CCM

Anonymous said...

HANA JIPYA

komba said...

Nafikiri Amepewa kamshiko tumegundua au ameona kazi zake zitadorora kwani maproter wake wote wanatoka ccm akaona mmh hapa pamenuka kwahiyo hana msimamo kwani angebaki hivyo wangebania mwisho wangemuachia tu, mimi hapa nilipo sina kadi ya chama chochote na naishi tu lakini uchaguzi ukifika nakipigia chadema.Kwani ninamachungu na nchi yangu hawa jamaa wanatufanya watoto wa kuku kisho utanyonya.Bora sisi tuteseke watoto wetu na wajukuu waishi kwa furaha na Tanzania yetu kama vile kenya wameteseka sasa mambo yaenda vizuri hongereni wa Kenya.Kuna mkenya mmoja aliishi Tanzania muda mrefu kwahiyo anatujua A to Z akasema nyie watanzania mnachagua sura sana sisi pamoja rais wetu mbaya anafanya vitu vilioenda shule nikashangaa kumbe wenzetu wanatuangali kwa macho mawili.

Anonymous said...

viti maalumu hiyooooooooooooooo!si unajua mr handsome mambo yke haya mi chimoooooo!

Anonymous said...

haya mama...tuta diss mpaka utupe sababu ya maana..

mac vzo said...

jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamanijamani jamani jamani jamani jamani !!!!! hizi tamaa zenu ndio maana mnaishia kunaniliwa na kuachwa na hata mkiolewa nakaya na siasa wapi na wapi?????????

Anonymous said...

Politics is not fun. It's a serious business concerning life and death. People die due to politics. Peoples' lives are turned around due to politics. Some peoples' dreams are shattered due to poliics, etc, etc...Now when you talk politics, be serious. It's not Simba vs Yanga or Manchester United vs Arsenal. I'm not a fan of any political party in Tanzania but I need you to tell me something.In your recent post above, when you talk about "the support system was very low" what do you mean?? Do you mean Chadema did not support you or what?? We are talking and thinking about the future of our country, our children and grand children so dont talk childish on this. Explain more what you mean in your short message, otherwise its like 'Childishization of politics', cause even the people in the rural areas who decide to cross parties give clear reasons...

Anonymous said...

BWT: Hivi huyu ameimba nyimbo gani ambayo hi hit? Ni star kweli au anajihisi kwamba ni star? To me she doesnt look like a hard working, professional tanzanian artist with targets like lady jd and others...she looks like someone who wants to be somebody but she doesnt know exactly what kind of a person she wants to be and how to reach that goal...so she's swimming on a pool of dreams and illusions...guys, what do u think? sorry if I'm wrong...

Anonymous said...

Mhhhhhhhh! Yale yale..hana mwelekeo wla hajui atendalo anahitaji msaada huyo kaishiwa.....DJ CHOKA MSAAIDIE AT LEAT AINGIE KTK GEMU kwani limemshinda! teh teh te!