22.11.13

Thursday, September 16, 2010

HEBU TUMSIKILIZE MSICHANA LULU.



Mahojiano haya yalifanywa na vijana wa Mateja20

13 comments:

Anonymous said...

kitu ni hiki SINGLE PARENT ndio inaleta mambo yote haya, huyo asiseme anakaa na wazazi wake wote, anakaa na mama yake tu,
we ona mlolongo wa hawa watu IRINE UWOYA, WEMA SEPETU,MAUREEN na huyo LULU wote SINGLE PARENT ndio maana kila siku kwenye magazeti na skendo

Anonymous said...

aache njaa zake huyo au Helkopta ndio zimemrudisha............

Anonymous said...

pumbafff kabisa si bora angevaa kaptura halafu juu ndio ajisitiri yaani ile picha ya iddy ameonekana trash na sio classy yaani changudoa kabisaaa, mafataki yako wapi yamshughulikie huyu mtoto mkubwa?? aghhhhh

Anonymous said...

am warid ata xul ni zero she z sooo cute huyu mtoto ila mambo yake apana kwakweli unajua me sielewi ukienda club ndo uvae uchi to say da truth mtu unaweza ukavaa kawaida tu n watu bado wanaume kibao wanakufata...sio uvae uchi ukivaa uchi ni unawaita wa kuplay den wanaondoka..she z too young n under age huyo mtoto ivi hakaoni aibu ata kidogo nooo way dats too much 4 ril loooh!!!!

ulimboka90 said...

Mtoto mshenzi kweli hv anajiona ye ni star,,,, star bongo mastar hawafanyi ujinga na ushenzi kama wake. Mastar wana respect na wanaheshimika.... sawa mdogo wangu...... auu ndo wazazi wako wanategemea kipato kutoka kwako...
unapotea mtoto we!!!!!! Tatizo mtoto wa kimaskin akishaonekama tu kwenye luninga anajiona super star.......superstar BONGO.

Anonymous said...

star ma $$$$$$$$$$!hata english hajui si bora uongee kiswahili tu ovyooo!nenda shule huko dnt pretend to smbdy u not,jerk!

Anonymous said...

bongo bado tuko nyuma kweli hivi huyu nae ni star

Anonymous said...

Wewe tunakupa muda mfupi utakuwa tayari hauko kwenye market cha msingi kuwa makini tu usiupate ukimwi. Siku zote abiria huwa hawezi kujua basi linakimbia mwendo kasi ngani ila watu waliopo nje ya basi ndio wanafahumu. Wanaume hawana huruma wataku****mba sana

Anonymous said...

Huyu mtoto kazidi ujuaji... Kwanza hajibu maswali anayoulizwa ana kazi ya kusingizia ustaa tu. Kwa mfano mtu kama anasoma, sioni tatizo la kusema kiwango cha elimu yake, unless kama anahisi kuwa watu wataweza kujua umri kupitia hilo, which is true. Na pia anatakiwa kujua maana ya ustaa, ofcourse kama unakosea, watu wataku judge na unajulikana ndio inakuwa worse... Nadhani ni vizuri kama atapata watu wamuongoze na waweze kumfundisha jinsi ya kukabiliana na maisha ya kistaa. Nadhani hilo litaweza kumpa uwezo wa kukabiliana na skendo na pia ataweza kuwa mzuri ktk interviews... Sio kiingereza kiiingi...

Anonymous said...

ustaa gani piga xul kwanza fid alishasema ustaa mzigo wa mwiba ukiubeba utaumia biatch

Anonymous said...

THE THING IS, What the Fuck !!
MBONA MI CKUJUI- Go to skul u punkAss
TUMIA LUGHA MOJA.

Anonymous said...

Hana lolote anajiona star anajua maana ya star huyo? daaah eti ye star! nenda shule kasome dogo ile nguo c o size yako pumbaaffff

Anonymous said...

washikaji acheni haters sawa ajui ngeli na bongo haman star ni mastar michosho wote but nyie wote hapa wengine mmecomenti mna donge jamani,amkaushiani!!na hata kama mtu ansaiishwa si kiivo bana