22.11.13

Sunday, September 19, 2010

JIACHIE NA CAMERA YA DJ CHOKA @MZALENDO PUB

Vijana hawa wamezaliwa tarehe moja yaani tarehe 19 mwezi wa 9 imetofautiana miaka tu, na usiku wa leo walikutana na kuinza sherehe ya kuzaliwa kwao pale Mzalendo Pub kwenye Fleva Night. Ni Fatma na Dj Choka

Dada huyu nae tumezaliwa nae tarehe moja ya leo tarehe 19 mwezi wa 9...alinitajia jina lake lakini memory yangu ikakata.

Dj Choka & Dj Bonny

Hapa tulipewa zawadi ya chupa ya Wine kutoka OVERMEER

1 comment:

mnaii said...

sasa hayo mavazi mnayo vaa na kufunua vifua wazi na matumbo yenu tunapoelekea nikutua hadi na pupi kutembea ukiwa kama ulivyozaliwa ............acheni hizo mambo bana