22.11.13

Tuesday, September 14, 2010

SIKATI TAMAA YAGAIWA BURE KWA MASHABIKI.

New album ya Hamidu sasa inapatikana na haiuzwi jamaa ameamua kuigawa, so kama unaitaka na upo pande za Dar es salaam basi jaribu kupitia maeneo ya Kinondoni Studio kwenye duka lake la nguo halafu mpango mzima utaupata hapo.

2 comments:

Unknown said...

ebwana kaka sasa fanya hivi mzee ongea na hamidu ka anaweza aziupload hizo nyimbo online tuzipate wote bwana ......kwani sisi wote mashabiki wake bwana tungependa kumpa support ndugu yetuuu ...so ka inawezekana hata wewe kaka unaweza ukachukua album yake ukaweka link alafu watu badae tudownload tusikilize ...mwisho wasanii wanatakiwa wawe na mfano wa kuigwa ka hamidu

sasha gls said...

sikia broooooooo mwambiye nyandu aziupload coz wengine tupo mbali then tunamkubali kichizi twisi wake hapa sarah a.k.a sasha gls.