22.11.13

Monday, October 03, 2011

DIAMOND AWEKA HISTORY KWA KUMVISHA WEMA SEPETU ENGAGEMENT RING.

Jana pale Maisha Club mtu mzima Diamond alimvisha pete ya uchumba Wema Sepetu, ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Diamond na akaona siku hiyo iwe maalumu kwa kumvisha pete mchumba wake. 
Kabaaaaaaaaaaaa kidole kikazungushiwa ukuta...

6 comments:

Anonymous said...

safi sna daimond kwa uwamuzi uliofikia watakao sema wahache waseme na najua watu watasema sna ila mm nikiwa kma shabiki wko nakupa hongera sna 1 ww ni muwazi unapenda sna kuweka wazi juu ya maisha yko ulivokuwa unaishi ni wasanii wachache sna wa tz wanaojise wao wametokea family duni na nikamsikia tena suwema akisema anakupenda cz ww ni mkwli na ni muwazi ikawa kma amezidisha kunipa uwakika zaidi mungu awabariki na mudumu zaidikwenye maisha ya pamoja mungu ypo nanyi

Anonymous said...

yetu macho. na tutaona mwisho wenu

Anonymous said...

hongera sana

Anonymous said...

kila kitu kina mwanzo na mwisho jamani wema amefanya mengi mabaya lakini sasa ameamua kutulian mungu wabsarikiiii

lulu john said...

Baba umeingia cha kike kuwa mwangalifu kuwa mkali na matumizi ya pesa
Lulu j. Ny

Anonymous said...

MTULIE SASA.MVUMILIANE,MHESHIMIANE NA NDIO MTAOANA VINGINEVYO MTAISHIA KUANDIKWA MAGAZETINI TU.NAWAOMBEA SANA.