22.11.13

Monday, October 24, 2011

Fidstyle Friday: Week 10 with AY

2 comments:

Anonymous said...

huyu mchukua video ni nani???? watu mara wakatwe vichwa,mara anatoa nywele tu mara miguu peke yake aibu gani hii jamani???? Fid wat is this men??? hakukuwa na editing???? next tym choka usiweke vitu km ivi

Anonymous said...

Ebana AY hapa umeonekana wakuja sana, yaani kitu ulichokifanya ilitakiwa ukifanye ulivyoingia Dar kwanza umefanya video ichukulike vibaya maana hakukuwa na usawa kati yako na Fid Q. haina mbaya.. pamoko sana