22.11.13

Saturday, October 22, 2011

MWILI WA MAREHEMU DICKSON WAZUHIWA AIRPORT YA TANZANIA

Jana majira ya saa 1 usiku ndio mwili wa marehemu Dickson Sekwao uliingia bongo kutokea South Africa, majira ya saa 5 usiku nilipigiwa simu na ndugu wa marehemu Kaka Mia na kunipa ripoti kuwa wamezuiliwa kupewa mwili wa ndugu yao huyo kisa wanashuku utakuwa umewekwa madawa ya kulevya.

3 comments:

Anonymous said...

wanachekesha kweli, sasa hayo madawa watu wanatoaga south kuleta bongo, kukosa shughuli za kufanya kwingine bwana

Anonymous said...

Maafisa wa serikali kweli akili zao sio timamu choka toka lini madawa yakatolewa south africa yaletwe tanzania wakati kule ndio unauzwa kwa bei kubwa kuliko tanzania?watu wanatoa bongo na kupeleka south africa.Waache ubabaishaji wawape mwili wahusika wakamzike hao wanataka pesa tu.

Anonymous said...

wote mlichangia hapo juu mnapiga kelele tu! kama polisi wameshuku kuwepo madawa acha kwanza waufanyie uchunguzi sio mnakua mnaingilia kazi ya polisi! wale sio wenda wazima mpaka wazuie mwili wa marehemu. R.I.P Bro.