Hi Choka, Yaani hii picha ukiiangalia kwa umakini utagundua dog Linex anazuga na gazeti ili apige nalo picha, unajua kwanini nasema hivyo mzazi, we angalia mikono yake, sasa wewe utakuwaje unasoma gazeti serious kisha unaweka vidole kushow love, kisha mkuu kweli kusoma gani uko uku umekunja sura, au ndio kusema lugha inakuwa mgogoro?.
Hahahahahah Linex anatafuta maneno kwa msisitizo na sura kakunja. hapo yupo eehh this eehh that. Mchizi Linex kujua kithungu kugumu sio rahisi kama makamasi kila mtu anapata.
22 comments:
Mimi nimegundua kuwa kijana lugha inampiga chenga
haha hah ahaa Linex bwana, chezea lugha za watu wewe,lazima ukunje sura
Inaonyesha ni kwa jinsi gani wasanii wa bongo hawasomi magazeti kama hayo wamezoea udaku tu
nimeipenda hii picha, sina comments
uiangalia mkono wake ameonesha chadema
Hi Choka,
Yaani hii picha ukiiangalia kwa umakini utagundua dog Linex anazuga na gazeti ili apige nalo picha, unajua kwanini nasema hivyo mzazi, we angalia mikono yake, sasa wewe utakuwaje unasoma gazeti serious kisha unaweka vidole kushow love, kisha mkuu kweli kusoma gani uko uku umekunja sura, au ndio kusema lugha inakuwa mgogoro?.
Jamaa hasomi ilo Gazeti cause macho yameangalia katikati ya mstari wakutenganisha kurasa za Gazeti.Ameshika kushow off na kupigia Picha
yaani apo ni kichina china zuga tym lugha gongana
uko kwenye nyumba ya udongo
english 'ngumu kumesa'!!!!
inaonekana ameshtushwa na habari amabyo hakutegemea
lugha gongana hapo
ninamshaka na mahali anaposoma inaoneka km ni column vile au anasoma/ameelekeza macho katikati ya gazeti so anaingia km anasoma kumbe anazuga
Hahahahahah Linex anatafuta maneno kwa msisitizo na sura kakunja. hapo yupo eehh this eehh that. Mchizi Linex kujua kithungu kugumu sio rahisi kama makamasi kila mtu anapata.
Hahahahaha akitoka hapo anaona kizungu zungu, Babuuuuu lugha za watu si mchezo.
dah!!nimechekaa sanaa jamaaa kikristo akipandi,zugaa time inawezekana alikuwa anacheki pichaaaa
anaangalia picha tu hapo mchizi
ngeli nomaaaaa ,
hivi ingekuwa ni gazeti la udaku sijui watu wangesemaje? ila poa all in all linex mkali
mchizi kunaneno linampiga chenga so anajitahidi kulidadavua.
nahisi kastuka na kifo cha Ghadafi...., sio lugha gongana..., nyc pic kiukweli..
duh. jamaa anaangalia katikati kwenye mstar utenganishao pande mbili za gazeti.
choka mchokozi
Post a Comment