22.11.13

Tuesday, April 10, 2012

Marehemu Steven Kanumba enzi ya uhai wake akiwa katika studio za Urban Pulse UK

6 comments:

Anonymous said...

Dah ukiangalia hii utamchujuwa kanumba alikuwa yupo poa sana....

Anonymous said...

Dah ukiangalia hii utamchujuwa kanumba alikuwa yupo poa sana....

Anonymous said...

kanumba wengine hatujulikani hata kwa majina lakini tulikupenda sana,yaani umetutesa sana we mtoto,mapenzi yetu mazito kwako ndio maana tunaumia,lakini mengi yanazungumzwa juu yako ila wewe ndio mwenye kuijua siri hii,nafurahi zaidi kwani kipindi cha mwisho ulikuwa unaonekana upo karibu na mungu,blog yako jamani nani anaijua password yako?nani ata updates,nakupenda sana kaka yangu,mungu akusamehe,watu wanakupenda sana kanumba mungu angekupa fursa kidogo tu uone yanayojiri huku na maumivu yaliyomo kwenye mioyo ya watu yamkini ungeamini.nakupenda sana steven kanumba

Anonymous said...

SINA LA KUSEMA JUU YA KANUMBA YAANI MPAKA HIVI SASA NAJUA KM MAIGIZO VILE MDOGO WANGU BADO YUPO HAI NISIKUFURU KWA MUNGU ILA SINA LA KUMWAMBIA MUNGU TUNAKUPENDA SANAAAAAAAAAAA

Anonymous said...

Mengi yatazungumzwa juu ya kifo chake, licha ya kuwa kioo cha jamii lakinikitendo cha kufanya mapenzi na mtoto mdogo kwa kivuri cha sifa na kazi yake cyo khaki. kwaiyo iwe kwa fundisho kwa wasanihii wengine kuchukua watoto wawatu na kufanya nao kazi na kuwageuza wapenzi wakiwa na umri mdogo siyo khaki. je leo hii LuLu ange fia nyumbani kwa Kanumba inge kuwavipi?. Lulu anatakiwa kutulia na kusema ukweli labda kuna wengine ndani ya bongo movie walimraghahi na kufanya nae mapenzi kwa umri huo alionao. Sheria hipo na ifatwe na khaki itendeke na mtoto wawatu hawe huru.

Anonymous said...

SINTALIKUSALAHU, MPAKA NIMEENDA KUNUNUA KANDA ZOTE ILI NKUKUMBUKE HATA KIZAZI CHANGU KIKUKUMBUKE. iLA MUNGU MWENMA, MPAKA LEO NAUMIA LAKINI NTAFANYAJE, NAOMBA WOTE WALIMUCHUKIA KANUMBA, KABLA NAO HAWAJAFA WAYAKUTE DUNIANI KABLA HAWAJAENDA KATIKA NJIA MOJA AMBAYO MWENYEZI MUNGU ALITUANDALIA., WALIMCHUKIA KWA UNAFIKI, HATA WALE AMBAO HAWANA NYUMA WALA MBELE, BASI WANADAMU NDIVYO TULIVYO NA TUTAENDLEA KUWA HIVYO LAKINI MUMGU MWEMA. UTAMCHUKIAJE MTU ANAYEFANYA KAZI ZAKE MWENYE NA KUFANIKIWA? HIVI KWELI TUTAFIKA MBINGUNE, MUNGU MLAZE MAHALI PEMA PEPONI KANUMBA, KIPENZI CHA WATU AWE MDOGO AU MKUBWA, MLEMAVU YAANI WOTE NA WATOTO. TUTAKUKUMBUKA DAIMA