22.11.13

Thursday, September 13, 2012

ACTIVE CHEF RESTAURANT NYUMBANI TANZANIA

NIMEFUNGUA PAGE YA FACE BOOK ... inaitwa ...... Active Chef

WEWE NI MPENZI WA BLOG HII YA CHAKULA SAFI NA SALAMA NAKUOMBA CLICK HIYO LINK HAPO CHINI KISHA ITAFUNGUKA NA UNAWEZA KUJIUNGA KWA KU CLICK LIKE KATIKA UKURASA HUO ILI UWEZE KUENDELEA KUPATA RECIPE NA MATUKIO MUHIMU YAHUSUYO CHAKULA
 
 http://www.facebook.com/pages/Active-chef/509561519067534#!/pages/Active-chef/509561519067534

BAADA YA KU LIKE UTAWEZA ONA PICHA MUHIMU NA RECIPE ZA RESTAURANT MPYA YA ACTIVE CHEF ILIYOFUNGULIWA NYUMBANI TANZANIA


16 comments:

Anonymous said...

wawaaaaaaaaaa chef big up kaza butiiiiiiii sasa kiota kipo wapi? ebwana namzimia san huyu jamaa kwa maswala ya menu

Anonymous said...

Manshaala chef hatimae umerudi home mwaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Oooh sasa ndio nafahamu umekua busy sana imanaana ulikua unandaa restaurant yako nini?

Anonymous said...

Pambafu inamaana ulaya imekushinda nini?

Anonymous said...

CHEF YOU THE BEST

Anonymous said...

Good luck chef Issa

Anonymous said...

ONE LOVE MDOGO WANGU KEEP UP THE SPIRIT

Anonymous said...

I love kooking your my role modole

Anonymous said...

Chef twambie basi restaurantipo wapi?

Anonymous said...

NAPENDA SANA KULA VIZURI NA JA,MAA KWELI NI MKALI SANA TU

Anonymous said...

Hahahahaaaaa sasa thupu ya utumbo ipoooooooooo???????????

Anonymous said...

HOTELI IPO WAPI

Anonymous said...

THE ACTIVE CHEF HIMSELF, I WISH NINGERKUA HOME BONG BUT NO WORRIES ONE DAY YES

Anonymous said...

Dj choka unatupa maelezo mafupi bwana tiririkaaaaaa hiii restaurant ipo wapiiiii au unabana ukale peke yako nini

Anonymous said...

inonyesha kiasi gani watu manapenda menu maana sio kawaida kumwaga coment kibao hivi

Anonymous said...

MANSHAALAH TUPO PAMOJA CHEF