22.11.13

Tuesday, September 18, 2012

DODOMA MKO TAYAREEEEEEEEEEEEEEEE, HII INAWAHUSU WAKAZI WA DODOMA.

XTREME DEEJAYZ Wiki hii siku ya jumamosi 22-09 tutakuwa New maisha club dodoma kwenye muendelezo wa triple bash ambayo itafanyika katika club 3 za New maisha club yaani dar dodoma,na mtwara. Dar tayari imefanyika jumamosi iliyopita na wiki hii ni dodoma baada ya dodoma mtwara tunakuja.kitakachofanyika ni burudani ya ngoma kali kutoka kwa madeejay wa xtreme mwanzo kati mwisho, hakuna msaniii wala maneno mengi zaidi ya hyping za kufa mtu kutoka kwa hyperman hk na ngoma kali za video kutoka kwa dvj majay hii sio yakukoa kiingilio ni tsh 10 tu.

1 comment:

Anonymous said...

Karibuni xanaaaaaaa! tuko tayareeeeeeeeeeeeeee!