22.11.13

Sunday, May 26, 2013

(Audio) Tanzania & Uganda Collabo Vanking ft Renez

Anakuja Kijana Vanking akiwa amemshirikisha mwanadada toka Uganda anayekwenda kwa jina Renez na wimbo wa "Nivute" ilosukwa pande za noizmekah studios Arusha, Ngoma ni mahadhi ya dancehall kuisikiliza download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Vanking kupitia +255 713 367 162 Powered by www.vmgafrica.com

No comments: