22.11.13

Sunday, May 26, 2013

(News) DJCHOKAblog yatimiza views million 7

Jana usiku nilikuwa na wakati mgumu sana pale ambapo namba niliyosema atakayeiona anitumie email ya picha halafu nitatoa zawadi, sikuweza kuamini kwani nilipata mail kama 50 ambazo zote zinaonyesha kuwa wameiona namba hiyo ya 7000000. Sina cha kuwalipa ndugu zangu wote mlionitumia email zaidi yakusema asanteni sanaaaaaaaaaa na mbarikiwe, nitazidi kuwaombea kila siku hadi mwisho wa pumzi yangu.
NAWAPENDA SANA.

No comments: