22.11.13

Friday, May 31, 2013

(News) SIWEZI KUPIGANA NA MTU YOYOTE AMBAYE HANA KOSA NA MIMI "P-FUNK MAJANI"

Leo jioni kuna msg zilikuwa zikitembea zikisema kuwa Prod Majani amepigana na mtangazaji kutoka Clouds FM anajulikana kwa jina la Adam Mchomvu maeneo ya Learders Club wakati sio kweli kabisa. P-Funk yeye alikuwa busy na kamati na hadi uvumi huo unatokea Adam alikuwa hayupo kwenye eneo la tukio kabisa. Adam yeye alitokea majira ya jioni na kushangaa story hizo, picha hiyo niliwapiga wakiwa pamoja ili kuwaambia watu kuwa huo uvumi ni kutaka kuleta mvurugano wakati huu tuliokuwa nao wakuondokewa na mwenzetu Albert Mangweha


4 comments:

MALONE said...

Huyu P funk anatapatapa.. Yeye mwenyewe kachangia kuua vipaji vya ma underground wengi walokua wanataka kutoka kipindi hicho bongo record iko juu.. Kwanza alikua ana lugha chafu. Dharau, matusi, mara akufukuze studio mara akupige kalenda.. Sasa hivi kuna studio nyingi kafulia anatafuta pakutokea kupitia msiba wa Ngwea.. Acha hizo we P, jiapange .. RIP Ngwea

Anonymous said...

Akafie mbele huyo Majani kwanza hana ubavu wa kumpuiga Adam Mchimvu hata kidogo. Kaishiwa huyo....One Love Clouds FM....mtazunguka kote lakini kwa Clouds Fm lazima mkae chini.

Anonymous said...

nyie wote mna mawazo mgando hamjui mnachokisema ingekuwa poa kama mngeandka R.I.P NGWAIR tu yatosha kulko kutoa maneno msiyo yajua..So U BOTH,Take time and think logically.

Anonymous said...

Clouds is going down,redio presenters,artists managers,promoters,producers(government studio stuf),media owners,as wel as talent show organizers.this is not fear,is against fair competition rules this is what is called market monopoly and exploitation.they exploit and frastuate musician this is not acceptable,I'm against them,BIg hi,to diamond barnaba and all others get prepared to be like me. Mr brue,ally kibba,jide.R.i.p cowboy,big up p funk for ur concern