22.11.13

Sunday, May 19, 2013

(Video) Yaliyojiri jana DAR LIVE kwenye show ya DIAMOND PLATNUMZ & NAY WA MITEGO

4 comments:

Mxonjovic said...

dah!hiyo show ilikuwa classic sana

Anonymous said...

Nashindwa kuelewa hao mabaunsa na wapiga picha kwanini wamejaa hapo stejini ..steji yenyewe ndogo...Undisorganised mno!

Anonymous said...

Dj Choka wape hao watu salamu zangu, mpango wa kupandisha watu kwenye steji wasiohusika ulipitwa na wakati. Waimbaji, wachezaji, walinzi, wapiga picha, anayerekodi picha wote wapo kwenye steji na hao wanaoonekana nyuma ndio wanaharibu kila kitu. Tujitahidi kubadilika na kuheshimu ikulu ya muimbaji anapokuwa akitumbuiza.

Anonymous said...

Kaz nzuriiii