22.11.13

Saturday, June 15, 2013

(Photo's) Show ya LADY JAY DEE ndio HABARI YA MJINI usiku wakuamkia leo
28 comments:

mc h.blogspot.com said...

Team anaconda...unbeatable!

Anonymous said...

showya mchanganyikeni navibaka umoumo no class ata all

Anonymous said...

Duuu !!ilikuw ni atari sana ...mazngumzo pmbn ni ngoma tuu

wa mtu chee d km d ~daudy daud

Anonymous said...

picha zinaongea hakuna zaidi clouds endeleeni na majungu yenu

T Mfaume said...

dada tisha sana.

T Mfaume said...

dada tisha sana.

Anonymous said...

Chezea anakonda wewe utamezwa,!!!UMETISHA YN WW NI IRON LADY,,,,,ACHANA NA MAWINGU FM HAO SIO NJIA USHINDWE KUPITA........WW UKOOO JUU JESHI LA MTU MMOJA

Anonymous said...

Song la yahaya c mchezo umepiga ikulu maana wakinayahaya mjini wk wengi,,,,mchana utamwona bonge la bwana usiku wanalala kwenye mitalo

Anonymous said...

Vibaka ht msibani wp sembuse kwenye shooo,mpe saluti dada ht kdg

Anonymous said...

kama ipo ipo tu dada endelea kukaza Mungu ndio mtoa riziki. yote sababu yaa...

Anonymous said...

Yeees!!! Hiyo kali mzuka mwing Jide wameshaelewa kwamba ww ni malkia wa huu mziki. So keep on moving

Anonymous said...

Nimependaje jibu lako,hahah

Anonymous said...

Hahahaa dj choka kwanza umetisha kwa kuchukua matukioo...jidee alitishaa hatariii chezeaa nguvu ya umma ww hawawez kushika masikio nchi nzma watawashika masikio hao hao wajinga wao na wasiojua kupembua mambo

Anonymous said...

Yap kumpa mtu ukweli ndio hbr ya mjini,,,aaache kupepesa macho kusema yasiyokuwepo......LUV U ANACONDA

Anonymous said...

Hahahahhaahahahahahahahaha yaan mm muda wote nacheka km mjinga kwa furaha niliyoipata kweny siku ya jaydee kwakwel wananchi wanaweza nimeamin hilooo sasa kina mwanaflan mmeumbukajee?mliyoyatarajia hayakuwa poleniii sanaa wakaanga sumu na roho zenu mbaya ndio maana mnapauka tu pamoja na hela zakubadilisha mboga mnazoo....roho mbaya yenu ndioo neema kwa dada yetuuu mxiiuuuuu

mwanahamisi mohamed said...

kelele za frog hazizuii elephant kudrink water.

Anonymous said...

Show ya vbaka hyoooooooooo!!! Huy jaydee mwenyew katokea clouz hana shukran sura mbaya

Anonymous said...

Kashfa za nn sasa,?sura ya jb tunaijua ya kwako,,,JD c muuza sura yuko kikazi zaidi sasa cjui ww muuza sura clouds wamekusaidia nn,?au na ww mfuasi wa mawingu,????poleeeeeeeee,,,najua unajamba tu mavi huna,!!!

Anonymous said...

Hana lolote huyo mnafi tu,shoo funika bovu nn class huko kwao class gan iliyoonekana kuvaa tai au,acha izo kubari ukwdli ANACONDA KAFUNIKAƀAAAAAA

Anonymous said...

Huyo FA mwenyewe alipiga hizo shoo inazosema za vibaga,haya na Fiesta je ya majambaz,kia mkweli shoo imebamba mbayaaaa muziki hauanhalii sura mbona remy aliimba acha ushamba

Anonymous said...

MUNGU ALIUMBA KILA MTU KWA MFANO WAKE, SURA MBAYA INAHUSU, MUNGU NDIYE ALIYEMUUMBA.

Anonymous said...

Acheni udaku 2cseme sura mbaaaaaaaya kwel mshamba wew kbaraka wa anakonda hloooooo!! Hapana chezeya wap fa bnaaamuuu nackia harufu ya Ankara, na wew unae harsha hapo juu uharo wa bata ptatatatatatah !!! Mambo yoote clouuuuz fm huwez fkia mawingu.

Anonymous said...

Anakonda mjpange baaadae saaaana kumfkia bnaaaamuu!!

Anonymous said...

Jiangalie watu hawabishani kwa matusi bali kwa hoja,,kukimbilia kumkashifu mtu kwa sura yk huo ni ufinyu wa mawazo na kutokuwa na hoja chanya,,,,,,c tunaangalia kazi c sura 7bu hakuna mkamilifu tunakushangaa wewe uliyejipa cheo cha umungu mtu,!!!Km unaakili timamu angalia comments zt hakuna mtu aliyekashfu mtu kwa alivyoumbwa,,,,,,km umeishiwa kaa KIMYA

Anonymous said...

That,'s true

Anonymous said...

Wew mdau hapo juu acha udaku wewee hv Una hoja gan ya maana? Huy jaydee alfanya kaz clouz ndo walomtoa kutwa walkuwa wanapga nymbo zke sasa yey hana akil wala mawazo anawanunia clouz bure ksa matangazo ya skylight band sasa anafkr hz radio znategemea nin? Ni matangazo klchotakiwa yey ajpange upya ajue atashndana vp na band nyngne, narudia tena sura baaaaya na roho baaaya!! Tena bayaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Hahaha!!!! Sasa kuna haja ya kumkutanisha ruge na jay dee coz comment zenu znaonyesha upande mmoja haujui kmetokea nn mpaka wawili hawa kutengana....ni hayo tuuu.

Anonymous said...

Kwel ndug yangu hao wanao jfanya kushabkia team anakonda hawajui 7bu, kama jay dee ana tatzo na cloud cangesema?!! Kulko kubambkza chuk lakn ukwel ni skylight band