22.11.13

Monday, July 22, 2013

(News) HII NDIO ZAWADI YA WASHINDI WAWILI WA DJCHOKAblog VIEWS:

Washindi wawili wakiume na wakike kutoka Dar es Salaam watakao bahatika kutembelea DJCHOKAblog na kuona namba ya views imekuwa 8000000 na kupiga picha na kunitumia kwenye email hii djchoka84@yahoo.com watapata zawadi yakula chakula cha mchana na DJ CHOKA pale kwenye mgahawa wa kimataifa ujulikanao kwa jina la NYUMBANI LOUNGE. #teamCHOKAblog

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo wengine tupo ktk swaumu kiongozi unatufikiria vp apo ili mzani u_balance?