Mr Nice amepata shavu la mkataba wa mwaka mmoja katika Record Lebo
inayoenda kwa jina la Candy&Candy Records ya nchini Kenya. Hii ni
baada ya GrandPa Rec nayo ya nchini kusitisha mkataba nae nakudai kuwa
Mr nice alikuwa mvivu na mlevi kitu ambacho Mr Nice amekanusha wakati
akisaini mkataba huo mpya nakusema GrandPa Rec ni waongo.
Mr Nice na CEO wa Candy&Candy Records anayeenda kwa jina la Joe Kairuki
No comments:
Post a Comment