22.11.13

Friday, September 06, 2013

KCK ft Defxtro & NiggaC-Hili Kombe KIONJO SNIPPET

Album ya NIL VIL toka KCK Supremacy ikiwa imeshakamilika recording, inamaliziwa maandalizi ya mwisho kuweza kuanza patikana mitaani kote, Single ya "BigidiBoost" ikiwa tayari hewani katika kuitambulisha album hii kwa wadau kote Nchini, itafatiwa na single ya "HILI KOMBE" wiki za karibuni, ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studio chini ya Defxtro akiwa ameshirikishwa NiggaC pamoja pia na Defxtro, pata KIONJO cha Hili Kombe HAPA na kwa mawasiliano zaidi na kwa mahojiano/Mawasiliano zaidi check na SpacDawg na Boox kupitia +255 754 970 956 au +255 765 022 224 powered by www.vmgafrica.com

No comments: