Adam Mchomvu akiwa kwenye pozi kali
kuanzia kushoto ni Mez B, Adam, Prof Jay, Quick racka na alioko nyuma ni King Kiboya Kwaito.
Wakati tunarudi dar tulisimama mahali ili kupata Mbuzi kidogo..hapa Clouds TV ikifanya mambo yake.
Michuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii DOLE
kuanzia kushoto ni Stopa, Lamar, Fid Q na Nay wamitego.
KITU KITU Usikipimieeeee
Hawa nini kaka zetu full STOP,
Adam usimpimie kwenye haya maswala
hapa sijamuelewa ndugu yangu Mangwear, wenzake wameshika kitoweo yeye anatuambia tunyamaze.
WANASHANGAA TUNAKULA NYAMA HAWAJUI NYOTA ZETU NI SIMBA
dj choka na prof jay...hapa braza alikuwa ananikumbushia je unajua uwajibu wako?
Prof Jay na Nay wamitego.
braza naniiii
Madee na Tunda Man, hawa ni timu mbili tofauti sasa wamekutana
Mwanadada Chiku toka La Familia
Babu Talle na mwanae Tunda man
Kuanzia kushoto ni mdogo wake Marco chall na Godzilla
Izzo Biznes na Prof Jay
Chidi Beenz akiwa anapiga picha na wanakijiji.
Nani kakuambia ukiimba ndio usijue kazi kama hizi.
Braza akilitoa shavu kidogo.
Baada ya kumaliza safari ya kurudi Dar iliendelea na tulifika nyumbani salama. Tour inayofuata ni
ARUSHA.
2 comments:
FOR sure choka am so happy to see your photo with prof jay,u really showed how machured u r,big up sana,um a fan for both f u esp ur brother(prof),really apreciate ur work n ol,wape kazi wabongo
annon Sept 30, 2009
Matured (not machured), appreciate (not apreciate)
Post a Comment