22.11.13

Thursday, October 29, 2009

KWAHERINI WATANZANIA.

Naandika habari hii ni saa nane na nusu usiku, nimetoka kuongea na Black Rhino na ameniambia anaondoka asubuhi sana na Ndege ya South Africa. Alichowaomba watanzania ni kumuombea mungu arudi na ushindi pia anawakumbusha kwa muda huu uliobaki hadi siku yamashindano mnauwezo wa kuendelea kumpigia kura.

VOTE for Black Rhino on Channel O Music Video Awards 2009 sms SEND 13 E to +27839208400 (MOST GIFTED EAST AFRICA VIDEO) ALso sms send 10 F to +27839208400 (MOST GIFTED HIP HOP VIDEO)

You can also vote thro www.channelo.tv or thro www.oboma.net you can win $1000 and a free air ticket to the event in JOHANESSBURG South Africa to be held on 29 October 2009 pleas keep vote for Black Rhino this is for all Tanzanians


Black Rhino akitoa peace akiwa mjini Nairobi alipokwenda kufanya shopping kidogo na baadae kupitia maduka ya Zizzou Fashion kuchukua skafu ya bendera ya taifa.

Hawa pia kaka zetu wapo kwenye mashindano hayo na wao pia unaweza kuwapigia kura nyingi.

To vote, MWANA FA The Most Gifted or Duo must SMS 4E to +27839208400
To vote, MWANAFA The Gifted East Africa Video must SMS 13B to +27839208400 (International SMS rates apply)

1 comment:

twenty 4 seven said...

wasijali wazazi watanzani tupo nyuma kwa kuonesha uzalendo kwa kuwapigia kura....