22.11.13

Tuesday, October 06, 2009

TUMEBADILIKA NA TUMEKUWA WATU WAZIMA SASA.

Domokaya na Mandojo wameongea na bongo star link na kusema hivi sasa wamebadilika sana na sio wale mliowazoea wakivuta bangi na kusikika wakifanya mambo yasiyopenda kwa jamii.
Kwa hivi sasa Domokaya ambaye kwenye picha anaonekana mkono wakushoto anasoma pale Arusha katika chuo cha New Orizona huku mwenzake Mandojo akijiandaa kwenda chuo cha Bandari kwenda kusomea maswala ya Shiping and Pot Management.

Kwa hivi sasa kila mtu ana mtoto, Mandojo mtoto wake anaitwa Joseph Michael na anamiezi 8, huku Domokaya mtoto wake akiwa anaitwa Precious Juma Nkoma na anamiezi 4.
Wanasema kaeni mkao wakupata burudani nzuri na baada ya wimbo wao wa Masimango kwa hivi sasa wanaingia tena studio kurekebisha wimbo mwingine.

1 comment:

NURU THE LIGHT said...

choka NAOMBA UULIZE NTAIPATAJE HIYO SCARF NA HILO JACKET YA TZ..AISEE I AM INLOVE,,WAKO JUU