22.11.13

Thursday, November 26, 2009

BANGI MARUFUKU KUVUTWA BONGO REC.

P. Funk Majani amepiga marufuku uvutaji wa bangi kwenye studio yake ya Bongo Rec, jana majira ya jioni nilimtembelea na kukuta karatasi iliyobandikwa kwenye mlango wakuingia studio.
Hapa alikuwa anaonyesha msisitizo wa nguvu na ole wako ubisheeeeee

Kama unavyoliona hilo karatasi hapo pembeni kulia.

1 comment:

DARCITY said...

OYAA MAJANI ACHA NOMA TUTAVUTIA WAPI BABU!!!!!