22.11.13

Monday, November 09, 2009

HABARI ZILIZOTUFIKIA...

Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba baba yake mzazi na msanii Man dojo amefariki dunia jana kule Manyoni Singida, baba mzazi huyo anajulikana kwa jina la FRANCIS MICHAEL ONGOSO. Pole sana rafiki yetu na ufike salama katika safari yako uliyoianza leo kuelekea huko Manyoni.

2 comments:

Anonymous said...

pole sana kwa msiba ...

Anonymous said...

Daa namfahamu sana mzee alikuwa mganga pale hosptal ya wilaya,poleni sana Erick,chris,Joseph(dojo) na mama yao mimi ni rafiki yenu wa siku nyingi tulisoma wote hapo mwembeni primary school ingawa kwa sasa siko tz.