22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

NANI UNAMUONA YUKO BEAUTY KATI YA HAWA HAPA KWA WIKI HII.

Niaje washkaji, nimeamua kuandaa haka kazoezi ili kuwapa entertainment wadau wangu na kuwatambua mastaa wetu wa bongo.
Angeris yeye ni mwanafunzi wa form 6, pia ni msanii wa bongo fleva.
Gitta yeye ni model na pia yupo kwenye fashion fashion za hapa kwetu bongo.
Piga kura yako.

5 comments:

Anonymous said...

KATI YAO CJAONA BADO WOTE WAKAWAIDATU

julytz said...

angeris

Anonymous said...

That my Baby girl Angeris!
Whatz up A, love u baby girl!
mdau from state.
Dj choka ni check kwenye e-mail mchizi wangu johnmachael@yahoo.com,
peaceee

niwael said...

mi namkubari GITTA
ametulia kwa kweli na ndo maana akawa kwenye fashion na ni kisura anayejitambua.
ukojuu ma dear.

TwitterBongo Crew said...

Gitta ni mkali bwana namzimikia kinoma She very very beautfully