22.11.13

Wednesday, November 25, 2009

NANI UNAMUONA YUKO HANDSOME KATI YA HAWA HAPA KWA WIKI HII.

Adam Mchomvu ni mtangazaji kutoka katika radio ya Clouds FM na Babuu wakitaa yeye ni msanii wa bongo fleva napia anafanya kazi pale Clouds TV.

UNAWEZA KUVOTE KWA MTU ANAYEMPENDA HALAFU WIKI IJAYO TUTAMTAJA MSHINDI.

13 comments:

Anonymous said...

adamu ndio mkali kwa upande wangu.

Anonymous said...

Adam tupa kule wwe...mnakuwa kama mnajisaulisha kwa huyu mtoto wakitaa

Vicent

Anonymous said...

Babu wa kitaa is the best one

linga fadhil said...

babuu wa kitaa nimkali zaid

Anonymous said...

adam zaidi but bluck and white iko poa mbaya asikwambie m2

Anonymous said...

wooote uozo tu

Anonymous said...

adam ndio wa ukweli m2 wangu,keep in touch guyz.

mwakapesa said...

babu wa kitaa zaidi mzee achan na huyo blazameni adamu.

Anonymous said...

yeah for sure,evryday clouds clouds clouds,namashaka na elimu yako ya uandishi choka!nat interesting any more,kublog sio picha tu na espcly picha zako za kishamba,u gota research men,fanya maresearch na weka kitu nu hapa sio bla bla,we need enteretainment and nat promotion,alaa1

Anonymous said...

babuu wa kitaa babuu wa kitaa UNABISHAAAA... kaa hUmo!

Anonymous said...

uyo babuu wa kitaa ndo nanh!me naona bangi bangi 2pu hamna k2!

Anonymous said...

uyo babuu wa kitaa c ndo alitolewa kwenye sexiest boy na uyu dada wa loveness love o!zawadi ninh kwani choka au kujifurahisha tu

kelvin the don said...

Dj choka nahitaji sn 2onane me na ww kaka nafikiri 2naweza kufanya ki2 cha ukweli sn katika ulimwengu wa burudani nitakupigia ktk namba zako,sina comment kuhusu hoa jamaa.kelvin the don