Mimi kama Moracka niliyelianzisha kundi la Rackarz nikiwa na mwenzangu Chief Racka, nimeamua kuachia uwongozi na kumpatia mwenzangu Chief Racka ambaye yuko India masomoni, nimeamua kufanya hivyo kwasababu nimeamua kuwa peke yangu nakufanya mambo yangu mengine ila mziki utakuwa pale pale. Sina bifu wala matatizo yoyote na wenzangu ila nimeamua tu kuwa free.
5 comments:
hahhahahaaha unanichekeshaaaaaaaaaaaaaa
Mbona haueleweki? kundi la kwanza ulijitoa na hili vilevile, watz up! hujiamini?
Mbona hujiamini? kila kundi unajitoa. Acha kutuzingua kama vipi pumzika kwanza
mbona hujiamini? we kila kundi unajitoa, kama vipi pumzika kwanza
who's this?
Post a Comment