22.11.13

Friday, November 20, 2009

NYIMBO MPYA ZILIZOTUFIKIA.

Yang D na wimbo wake mpya unaoitwa MZUKA akiwa amemshirikisha Chidi Beenz

Mshale na wimbo wake unaoitwa NIWE NAWE akiwa amemshirikisha Mangwear.

ZISIKILIZE NYIMBO HIZI HALAFU UNIPE MAONI YAKO, MAHALI NI HAPO PEMBENI PALIPOANDIKWA FLAVE MPYA ZA BONGO.

3 comments:

Anonymous said...

Duh..Bana, Track Kali..Duh Mshakaji Alikuwa wapi? Duh..ana Style Ya Kipekee Sana..Karibu Mshale..

Anonymous said...

E bwana Choka Big up Track Limesimama Kinoma yani hapa Mzuka Unapanda mpaka unataka kushuka...Brirrrrrrrrr! nasaidia kama vocha....Ni Chid B Na Young D ni Young Hivi Ila Me Ni Bro...

Mdau.
Robert Sambeke

Anonymous said...

t 9c one love z voice!