22.11.13

Wednesday, November 04, 2009

SHOW YA BENJAMIN NA DUDUBAYA HUKO UGHAIBUNI

Benjamin akiwa live kabisa kuwaburudisha watu wa huko kwa wakina nanilii

Hapa nadhani Dudubaya alikuwa anaimba wimbo wake ule unasema Tentementeeee halla babyyyy AU......

1 comment:

Anonymous said...

sasa kwanini huyu aliye kuagizia hii picha hajaonyesha jinsi watu walikuwemo ndani ya ukumbi?au imekua kama ile ya kutimua vumbi mbele ya mashabiki wawili?