22.11.13

Monday, November 30, 2009

WHO IS THE BEAUTY OF THE WEEK.

Anaitwa Teddy Kalonga, top model anayetesa kule kwa wenzetu na anaonekana sana kwenye video za wasanii wa kule ugaibuni.

Huyu anaitwa Cynthia Masasi kimwana toka pale jijini Mwanza ila kwa sasa makazi yake yapo nje ya nchi, pia huyu ni model mkubwa tu na alienda huko kitambo sana.

VOTE KWA YULE UNAYEMUONA ANAFAA KUWA BEAUTY KWA WIKI HII.

9 comments:

Anonymous said...

teddy she is so cute, luv her... mdau new delhi india

Anonymous said...

jamani..mm naona kk umeshakosa cha kuweka kwa blog yako..sikuinsult wala nn..lakini mambo ya TK cc hayatuusu na uko ulaya yy ni kujiuza tu ili aonekane kwa vijitv show ni c mkali kama mnavyodhania..

Anonymous said...

ni bora kuwa na data za uhakika na unachokiandika Cynthia ndio model anaeonekana kwenye video nyingi za wanamuziki na Teddy. tupe habari sahahi plz

Anonymous said...

Tk Bana Period

Anonymous said...

Hey they are not famous or top model as you call it! Teddy Kalonga was famous in TZ not in US, Cynthia trying to make it in models but she ended in "rap video girl which women "wanadhalilishwa" ile mbaya because you can't appear on VIDEOS without sleep with rappers!!Since there are so many "fine" women and each wanna be on video you have to give them uroda!
Nyie mkiwaona ktk facebok or in their blogs mnaona wamepunch or top models..
Acheni kusifiua ujinga..

Lilian US

Anonymous said...

HAPA DJ CHOKA HUJAMTENDEA HAKI CYNTHIA HUJALETA PICHA ZAKE NZURI...CAN U REQUWST FOR MORE PICS ZA CYNTHIA NA TK ILI WATU WAJUDGE VIZURI?

Anonymous said...

We choka uu mjadala utaleta mengine kabisaaa. awa wadada wanabiff tangu longtine ile ya kimtindo tu. Namueshimu sana tk, cnth simjui wala sijawai ongea nae ila wote wazuri na wana tofauti kubwa sana. coming to the point, kati yao ningechagua kudate na cnth kwasababuu nipo curious nae. mwenzie walau namjua kidooogo. kama wanajiuza jamani inawausu nnini. kila mtu na mungu wake kwanini mnagudge watu.

Hustler.

Anonymous said...

ww watu wajue vizuri nn..huo ndiyo ukweli hao wote ni malaya tuu hakuna wanachofanya zaidi uko..huyo cynthia ndiyo kabisaaa hana utofauti na teddy..cause tedy ni kma changudoa..
sasa ww dj choka unavyowasifu basi..hehe..na ww bado mshamba kwa kweli..dnt get disapointed lkini if u wnt pipo to check out ur blog kma jay dee usisifie kihivyo act like a mn..

Unknown said...

Don't be stupid guys. How dare you calling us malaya. Yaani nyie kila mwanamke mtanzania anayeonyesha kujituma kivyake ni malaya?

Don't hate, I appreciate or shut ur big dirty mouth up! Gezzzzzzzzz!

Picture one of us were your sis' or were u and u see people write negative comments ambavyo sivyo ulivyo. what would you feel?...

We respect ourselves. & we all have our own man. We all have agencies. We can not get a job without an agency. And the job we get booked in, we are not allowed to speak to anybody kazini. So why would u dare think we sleep with them to get us a job?... Acheni ujinga!

TK