Ruben aka Ncha Kali kutoka Clouds FM ndie aliyekuwa MC wa show hii ya tiGO.
Kama unavoiona steji ilivyopambwa
Nyomi nadhani mnaliona, huu ni upande wa pembeni tu
Gari ambalo tiGO wanalitoa ni hili hapa Nissan
Kama chini kumejaa unapanda juu ya miti tu.
Baby Boy akiwa kwa steji
Rais wa Getto alikuwepo, anaitwa Madee
Matonya aliingia na msanii Nay wa Mitego
Akafuatia Marlaw
DJ Choka sasa nitoe basi nakiu mwana....
Show ilifungwa na msanii Mangwear kutoka Zizzou Ent, pembeni alikuwa na Babuu wa Kitaa
Baada ya show akatafuta pozi ili apumzike, lakini wananchi wakamuona na kuanza kumzingira kwa kumsalimia Mangwear.
No comments:
Post a Comment