22.11.13

Monday, September 19, 2011

Happy B,Day DJ CHOKA.

Hugoline Martin Mtambachuo (DJ CHOKA)
Thanx GOD maana bila pumzi yake nisingefika hapa, Thanx ma MAMA kwakunilea vizuri na busara zake na heshima zake mpaka leo dunia inanitambua namwambia asante sana. Nawashukuru sana ndugu jamaa na marafiki maana bila nyie sina kitu chochote maishani, nguvu zenu ndio zinazonipa furaha kwangu na kujituma kila siku, nawaambia nawapenda sana na sana.

4 comments:

casto dickson said...

happibasideiiiiii mekuuuu haya ndo useme twazinywea wapi leooooo??????

EDWIN NDAKI (EDO) said...

happy birthday jembe

NURU THE LIGHT said...

happy birthday mazafantaaaaaaaaaa na mungu akuzidishie na ndoto zako zikamilike..,

Anonymous said...

Happy Birthday Choka.