VIDEO hii ni maalum kwa ajili ya kuomboleza na kuwafariji wafiwa wote wa ajali wa MELI zanzibar..Pole Zanzibar, Pole sote kwa ajali..(Offside Trick, Spider, Gelly, Timbulo, Bio na Isa E, Montel, na Z Anton)
2 comments:
Anonymous
said...
yaani mkaamua kuimba kwaya!??! woote tune moja!!! Kazi kweeeli kweli!
2 comments:
yaani mkaamua kuimba kwaya!??! woote tune moja!!! Kazi kweeeli kweli!
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kutoa comment, nyimbo ipo poa na inaeleweka sasa hayo ya kuimba kwaya yametokea wapi, acha ubwege mse***ge wewe
Post a Comment