22.11.13

Friday, September 16, 2011

POLE Zanzibar Final Video.


VIDEO hii ni maalum kwa ajili ya kuomboleza na kuwafariji wafiwa wote wa ajali wa MELI zanzibar..Pole Zanzibar, Pole sote kwa ajali..(Offside Trick, Spider, Gelly, Timbulo, Bio
na Isa E, Montel, na Z Anton)

2 comments:

Anonymous said...

yaani mkaamua kuimba kwaya!??! woote tune moja!!! Kazi kweeeli kweli!

ilalazone said...

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kutoa comment, nyimbo ipo poa na inaeleweka sasa hayo ya kuimba kwaya yametokea wapi, acha ubwege mse***ge wewe