22.11.13

Monday, November 07, 2011

New Release Track By Jay Moe "FAMOUS"

Baada ya zaidi ya mwaka na nusu tangu JayMoe awe kimya bila wimbo wowote hewani...He's back!...na hii ndo ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ''Famous'' ambayo ameshirikiana na producer wake wa siku nyingi anaejulikana kwa jina maarufu kama MAJANI au P-FUNK,ambaye ndo pia ndiyo producer wa wimbo huo wa ''Famous'' ndani ya studio za BONGO RECORDS,itakuwa ni single ya 3 toka kwenye santuri yake ijayo itayokwenda kwa jina la MOCUMENTARY...

3 comments:

Unknown said...

jaymoe katisha sana jaman du ng'ombe hazeki main hiyo beat ya mmea nuksi sana

Brian said...

We need more n more mocumentaries, keep it bro,n it sound gud 2 hear dat,"............NIMEANZA KWENYE NYUMBA CNA PRESSURE NA COLORA........." Keep it up bro

Massaka Emmanuel said...

Ni noumer mzazi..!!Imetisha