22.11.13

Monday, November 07, 2011

WASANII WAKITANZANIA WASHIRIKI TUZO YA HESHIMA KWA MAMA LAURA BUSH NEW YORK

 
 Pichani ni msanii Ditto akiwa na mcheza kikapu wa marekani mwenye uraia wa Congo (Mutombo)

Baadhi ya wasanii wanayoiwakilisha bongo wamepata mwaliko wa kuhudhuria kukabidhiwa tunzo ya heshima kwa mama LAURA BUSHI mke wa Rais mstaafu wa USA. Na pia jana walipata nafasi yakuimba kwenye jukwaa moja na msanii ANGELIQUE KIDJO.

Ditto, Fid Q na Barnabas

Wasanii kutoka bongo wakiwa na CATHERINE MCPHEE ni AMERICAN POP IDOL NO 2

 
ANGELQUE KIDJOOOOO KATIKA PICHA YA PAMOJA.

 HAPA TUPO NA MKE WA RAIS MSTAAFU WA AMERICA MAMA LAURA BUSH.

1 comment:

Anonymous said...

barnaba kitambaa shingoni (winter scarve) kinatumika wakati wa winter nje ya nyumba lakini ukiwa ndani (indoor) huwa kinavuliwa. Ni kwa ajili ya baridi kwa hiyo unapkuwa ndani kama una koti na scarve unavua!!