Ostaz Juma
Manager
wa Kampuni na label ya Mtanashati Entertainment inayosimamia Wasanii
kama vile Dogo Janja, PNC, Happy Balice na wengineo, Maarufu kama
Ostaadhi Juma Namusoma ameamua kufunguka live kuwa Sababu ya yeye
kuingia kwenye Muziki kwa upande wa Kuchana na kuachia ngoma yake
aliyofanya na Young Killer haikuwa na maana ya kutaka tu kuonyesha kuwa
anaweza pia upande wa pili bali pia nikumkata Ngebe Msanii wa Bongo
Fleva Mr. Blue ambaye anadai kuwa alimdiss kwenye kipindi cha Mkasi
wakati akihojiwa na Salama Jabir.
Ostaadhi Juma amefunguka hayo wakati akipiga short Interview kwa njia ya simu na Mtangazaji wa Mambo Jambo Radio Arusha DJ Haazu ndani ya Kipindi cha Mtaa wa Pili Round II ambapo bila kuficha Jamaa alifunguka maneno hayo ambapo anasema baada ya Mr. Blue kumdiss kwenye kipindi cha Mkasi kuwa haujui Muziki yeye hakujibu chochote.
Mr. Blue alimdiss jamaa huyo pale alipoulizwa na Salama Jabir kuwa angependa apate Manager wa aina gani ambapo Mr. Alimjibu Salama kuwa anataka Manager anayejua mziki na sio vimanager kama Ostaadhi sijui Juma....jamaa yeye alikaa kimya na kwa sasa Kaamua kufunguka

MSIKILIZE HAPA CHINI AKIFUNGUKA
HABARI NA DJ HAAZU MJ RADIO 93.0 FM ARUSHA
7 comments:
kumbeee!
kumbeee!
Jama bado xna mr blue mkaliiiiii
Jamaa kaimba pumba tupu mi binafsi sijamuelewa
hana lolote mshamba tu..hata anachoimba hakielewekii

Haswaaa hapo umeongea best jitu zima linataka malumbano na mtoti.BLue yukoo juuu
Post a Comment