Hii ndio Top 10 yetu kwa wiki hii na haya ndio majibu ya kura zenu mlizopiga, chat leo imebadilika week iliyopita niliingiza nyimbo mbili ambapo niliweka kwenye chat wimbo wa Nikki wa Pili pamoja na wimbo wa Snura, leo wimbo wa Nikki wa Pili umepanda kutoka namba 10 hadi namba 2 wiki hii na kuurudisha namba 3 wimbo wa Lady Jaydee YAHAYA. Snura na wimbo wake mpya NIMEVURUGWA kutoka namba 9 hadi wiki hii namba 7. Nyimbo mbili zitakazotoka week hii ni wimbo wa Solo Thang (Karata) pamoja na wimbo wa AT (Kitumbua) Je week ijayo ni nyimbo gani mbili zitaingia kwenye chat na kuwakimbiza wenzake..?
1 comment:
Kimbiji yake BOBJUNIOR Iingie hapo
Post a Comment