22.11.13

Monday, August 05, 2013

(News) Katika mada yetu ya kumshauri msanii leo tuko na msanii huyu...

Kama tulivyoanza wiki iliyopita mada yetu hii yakuwashauri wasanii kitu chochote unachotaka kumwambia ukiwa kama shabiki yake namba moja na tukaanza na msanii wa Bongo Movie pia yuko vizuri kwenye Bongo Fleva Hemedy PHD. 

Sasa leo tuna msanii mwingine wa kike na alianziaga Bongo Movie mpaka akahamia Bongo Fleva anatambulika kwa jina la SHILOLE. Ukiwa kama mdau wa bongo fleva au shabiki namba moja wa Shilole basi nakaribisha maoni yenu kupitia sms kwa kuandika neno DJCHOKA halafu unaacha maoni yako hapo baada ya hapo utaituma kwenda namba 15678, au unaweza kucomment hapa hapa na maoni yako nitayafikisha sehemu husika na tutaona kama kweli amewasikiliza mashabiki wake au la.... Karibuni

37 comments:

Anonymous said...

Mm ninataka kujua zile mobal alizopewa south ampelekee diamond akazizuia kwa madai kwamba hajamaliziwa pesa yake yashoo jee ile inshu iliishajee.mdau from uk natarajia majibu

Anonymous said...

anajua sana music na movie pia so right now apunguze skendo tu ajenge hushima kwa lika zote atakuwa poa sana kwan hata sasa yupo vizur sana...., kaka ake wa tabora pia mie

Anonymous said...

Shilole kaza buti unaweza timiza ndoto zako ucsikize vdada vilivyo chuja vinataka kukupotezea ww mwelekeo na kukukatisha tamaa,songa mbele shost mabifu na magume gume achana nayo

Anonymous said...

Amejipanga vip kufany kaz n wasanii mbele

Anonymous said...

i hate her for so many reasons one day will tell u Choka, but apunguze ulimbuken haitamsaidia

Anonymous said...

apunguze mcharuko na kugombana na watu afanye yake

Anonymous said...

Tatzo la shilole halitoisha masikini akipata matako ulia mbwata yani ni kama kuigeuza dunia kuwa mstatili aisee hawezekani ila mzur jaman

Anonymous said...

Hivi mkuu unaweza ukamshauri mtu mwenye kiu asinywe maji ya mtoni wakati kisima hajui kilipo? Huyu bint ni kama kipofu aliyepata bahati ya kuiona dunia ilivyo.....

Anonymous said...

Huyo aachee kujisifia an kutok vitu ambavyo aviwezekani

Anonymous said...

aache kuuza magazeti yeye co wa kwanza kwenda marekani iweje atangaze kwa kila mtu?punguza sifa bana.

Anonymous said...

anawaza makubwa wakat uwezo hana anajisifia mno, huyo ndo wale wanaolala asubuh wanasema usiku nimeota ndoto ya kingeleza wakat haiwezekan

Anonymous said...

ninachomshauri mimi akaze buti kufanya mziki mpaka mashabiki wakukubali ina bidi awe serious na cyo kutafuta umaarufu kwenye media af mwisho wa cku una kufa masikini

Anonymous said...

Ili miuno ktk stegi atavunja ndoa za watu bwana

Anonymous said...

Mi nampenda shilole in shot en namshauri akaze buti en amjue mungu pia..

Anonymous said...

Shilole wewe ni kioo cha jamii ila skendo zako huwa zinanikera mara umeiba cmu mara umelewa 2pilia mbal skendo hizo kwa leo

Unknown said...

Arudi shule ili haweze kutanua zaidi mziki wake vinginevyo she iz on fire am out Nukta (.)

Mrs Adoa(Mama Grace) said...

Aache uswahili bwana.ni mswazi kupitiliza,na akubali challenge.na ajieshimu japo kidogo basi huku akitambus yeye ni Mama.badilika bwana

Anonymous said...

Shulole anatisha aisee

Unknown said...

kazushiwa

Anonymous said...

Choka mwambie shilole akitaka kufakiwa katika maisha yake. Asipende kupokea sifa za kijinga na kuchukia ukweli. Kama anamtu anaemsimamia kimziki anapswa kumkanya kujisifia ujinga ktk radio na tv

Anonymous said...

Mi namkubali sana dada angu nilikua naisubiri kwa hamu video aliyo shoot usa leo katika pita pita zangu yutube nimekutana nayo duh ni mbaya sana plz usiichaie hiyo video ni mbaya itakushusha dada angu

Anonymous said...

Choka angalia youtube uone video alio fanya marekani halafu akikaa kwenye media anajisifia duh video ni mbaya mbaya sana. Ingia youtube andika SHILLOLLE usiandike SHILOLE NI utumbo ulioje angalu then uiweke kwenye blog yako then watu watoe comment zao

Anonymous said...

Shilole mamneno yanakuponza unayo ambiwa mitaani sikiliza watu wanaokuambia ukweli achana na maneno ya watu wanaokusifia ujinga

Anonymous said...

Shilole acha kuongea biasha ya muziki au kuchukua show bila kumshirikisha meneja wako. Hujui kuongea kwenye media utaweza biashara. Nakueleza ukweli coz radion huwa unasema unameja lakini juzi juzi umemsnich umekuja jirani ya kwangu ukwa unaongea na simu kuhusu show ila hukusema ongeeni na meneja wangu acha usn8ch dada

Anonymous said...

Choka shilole anaswa apate watu wa ushauri ni mbishi sana hapendi kiambiwa ukweli mi huwa nakuwa sana maeneo ya jakalanda pub huwa namsikia akishauriwa ila huwa aelewi

Anonymous said...

Mimi ni rafiki yake instagram niliona ame mbrodcast meneja wake anaitwa sirballa. Ni mtu maarufu hasa kwa wasanii wa bongo na makampuni na serikalini coz ni mchapaka kazi. Huyu sirballa huwa anawashauri wasanii na kuwasaidia sana ila kwa nini hamsaidii shilole aache ulimbukeni wa kuongea upuuzi kwenye media

Anonymous said...

Niliona amepost kwenye instagram kuwa hamza balla aka sirballa ndio meneja wake nikafurahi sana coz huyo jamaa ni mtu muhimu sana kwenye tasnia hii nimesha washudia zaidi ya wasanii 35 wakimzungumizia sirballa utendaji wake wa kazi na jinsi anavyo washauri wasanii. Lakini nasikia shilole si msikivu na anapenda kusikiliza vitu pembeni ndio maana yupo na sirballa lakini yeye hadiriki. Aige mfano wa wenzake waoenda kufata ushauri kwa meneja wake. Shilole badirika

Anonymous said...

Video ya nakomaa na jiji ni mbaya ipo youtube plz rudia hiyo video itakushusha kama majanga ya snura. Video kama tour na sijui kama haijashutiwa na blackberry coz haijafikia ubora hata wa samsung na iphone

Anonymous said...

Video mbaya ipo youtube imeandikwa SHILLOLLE

Anonymous said...

Acha sifa za kijinga kuwa mskivu

Anonymous said...

Usiishi kwa kupoteza thamani ya mwili wako kila msanii ulioshirikiana nae ametembea na wewe na kila alieandika wimbo wako basi mwili wako anaujua

Anonymous said...

Kuna baadhi ya vitu aache kikbwa ni thamani ya mwili wake. Barnaba, tash, timbulo, rich mavoco, young dee, ben pol, mabeste, dulayo duh mama huu sio ubina damu na madj sasa na producer ona haya wanaume wanahadhiana mimi kama msina mwenzio naumia nikisikia na kuona hivyo

Anonymous said...

Mwambie akaze buti maana ye ndo mwakilishi pekee alie baki kutoka tabora wengne walisha sanda mwambie azid kukomaa na jiji cc tupo nae bega kwa bega

Anonymous said...

Asikilize ushahuri wa watu,sinta kaongea alichoona yy kama hawezi collabo na jlo coz ndio kwanza ana vijimbo tu vichache leo hii akafanye collabo na jlo na jdd wenye albamu watafanya na nani?si kwamba hawezi anaweza bt si kwa sasa alafu kama kweli kulikuwa na icho kitu alitakiwa awe mpole mpaka mambo yake sawa annze ku shout ndio labda angejaribu kutuambia izo mambo yake au ange simplfy tu nakusema nina ndoto za kuja kufanya na jlo collabo asimuone sinta mbaya hata mie nisiejua mziki na hanijui nasema hawezi kwa sasa akomae kwanza na east afrika aende mpaka nigeria ili apate exposure ndio aende huko awezi akazaliwa na kusimama moja kwa moja na nguvu zote bila hata kushika pahali au kutambaa.....mie alinikera kwa kweli kusema maneno yake ya shombo kwa sinta wakati yale ni mawazo ya sinta alitakiwa achukulie kama challenge then aje atoke kweli,si kwa chuki ila kwa upendo tu yy na sinta wote ni ma fun zangu,Hard work dada unaweza m/mnyamwezi mwenzangu


Anonymous said...

Kiukweli hawa cster wakishadaka mkwanja wanajisikilizia kinoma tru punguza maringari

Anonymous said...

Hana lolote muuza sura tu mwili,,kwanza kuimba hajui ila madoido ndo mengi,,,,,,,,na wala hashauriki

Anonymous said...

Ila me kwa kwel sielewagi huyu dada ana umaarufu wa nini...kuigiza hajui, kuimba hawezi, kuwa video queen ndo kabisa...anang'ang'aniza tu kuwa maarufu kama bwanake timbulo ...me bado sana kumuelewa....aache kugawa hyo mbudia atakufa amuache mwanae