Msanii Diamond hapa akiwa jijini Senegal alipokwenda kukutana na Youssou N Dou akiwa kama balozi wa Malaria kutokea Tanzania.
hapa Diamond mwenye tishet ya njano alikuwa hospital kuu ya Senegal akizungumza na mganga mkuu wa hospital hiyo kuhusu Malaria ilivyo kwa huko kwao.
Mkurugenzi wa Malaria kutoka USA, Diamond na Dokta mkuu kutoka Senegal
Wadau wa Malaria kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye hospital kuu ya Senegal
Ruge, Mdau wa Malaria kutoka USA pamoja na Diamond
Mtu mzima akiwa amejipumzisha kabla ya kwenda kwenye show iliyoandaliwa na Youssou N Dou
Diouf akiongea maneno yake machache kabla yakumkaribisha Diamond aje kuimba
Diamond alivyopokelewa kwa shangwe nyingi na wakazi wa Senegal
Diamond akiwa na wadau mbalimbali wakitizama kinachoendelea
Diouf & Diamond
Diouf alishangilia sana baada ya kumuona mnyamwezi Diamond akiwa kwa steji na kuyarudi mauno ipasavyo.
Mtoto wa Mbagala akipewa nafasi yakula mashavu huwa habaatishi kabisa.
Buba Dou ni mdogo wa Youssou N Dou, katika ni Diamond pamoja na Youssou mwenyewe
Diamond akiambiwa mambo ya msingi kabisa na Youssou N Dou
Hapa ni shangwe zilikuwa zikiendelea baada ya Diamond kuimba wimbo wa Nenda kamwambie
Hiyo alama ya X ambayo unaona watu wameweka ni alama yakutokomeza Malaria kwa kule Senegal kama ilivyo huku tunasema
ZINDUKA kule wao wanasema
XEEX SIBBIRU.Diamond akicheza na watoto huku akielekea kwenye usafiri alioandaliwa wa kumrudisha kwa hotel
Hapo Diamond akiwa ndani ya gari tayari kwa safari yakumrudisha kwa hotel
4 comments:
Saaaafi sana Diamond...mungu akujaalie ungae kama jiwe la almasi...me loves you!!
ila siku ingine kwene mkutano uvue sun google zako inakua fresh zaidi kuangalia na watu kwene mkutano..
ur bigest fan
kijana anaijitahidi lakini hiyo suruali kila siku anatia aibu mfundisheni jamani swagga
Kila kitu Ruge! Ruge! damn! too much of him in everthing bwana!
wewe km balozi huwezi kuwa umekaa na mabalozi wenzio mnajadili jambo la mana na SUN GLASSES kunapicha hapo km wapo lab mshkaji stil ana miwani huu tena ni ushamba tena sn
mavazi pia dogo anaitaji somo sio kila mahali unaonyesha usharobalo wako mwana all in all big up sn
Post a Comment