22.11.13

Monday, June 14, 2010

BALOZI WA MALARIA DIAMOND ALIVYOKUWA NCHINI SENEGAL

Msanii Diamond hapa akiwa jijini Senegal alipokwenda kukutana na Youssou N Dou akiwa kama balozi wa Malaria kutokea Tanzania.

hapa Diamond mwenye tishet ya njano alikuwa hospital kuu ya Senegal akizungumza na mganga mkuu wa hospital hiyo kuhusu Malaria ilivyo kwa huko kwao.

Mkurugenzi wa Malaria kutoka USA, Diamond na Dokta mkuu kutoka Senegal

Wadau wa Malaria kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye hospital kuu ya Senegal

Ruge, Mdau wa Malaria kutoka USA pamoja na Diamond

Mtu mzima akiwa amejipumzisha kabla ya kwenda kwenye show iliyoandaliwa na Youssou N Dou

Diouf akiongea maneno yake machache kabla yakumkaribisha Diamond aje kuimba

Diamond alivyopokelewa kwa shangwe nyingi na wakazi wa Senegal

Diamond akiwa na wadau mbalimbali wakitizama kinachoendelea

Diouf & Diamond

Diouf alishangilia sana baada ya kumuona mnyamwezi Diamond akiwa kwa steji na kuyarudi mauno ipasavyo.

Mtoto wa Mbagala akipewa nafasi yakula mashavu huwa habaatishi kabisa.

Buba Dou ni mdogo wa Youssou N Dou, katika ni Diamond pamoja na Youssou mwenyewe

Diamond akiambiwa mambo ya msingi kabisa na Youssou N Dou

Hapa ni shangwe zilikuwa zikiendelea baada ya Diamond kuimba wimbo wa Nenda kamwambie

Hiyo alama ya X ambayo unaona watu wameweka ni alama yakutokomeza Malaria kwa kule Senegal kama ilivyo huku tunasema ZINDUKA kule wao wanasema XEEX SIBBIRU.

Diamond akicheza na watoto huku akielekea kwenye usafiri alioandaliwa wa kumrudisha kwa hotel

Hapo Diamond akiwa ndani ya gari tayari kwa safari yakumrudisha kwa hotel

4 comments:

Anonymous said...

Saaaafi sana Diamond...mungu akujaalie ungae kama jiwe la almasi...me loves you!!
ila siku ingine kwene mkutano uvue sun google zako inakua fresh zaidi kuangalia na watu kwene mkutano..
ur bigest fan

Anonymous said...

kijana anaijitahidi lakini hiyo suruali kila siku anatia aibu mfundisheni jamani swagga

Anonymous said...

Kila kitu Ruge! Ruge! damn! too much of him in everthing bwana!

Anonymous said...

wewe km balozi huwezi kuwa umekaa na mabalozi wenzio mnajadili jambo la mana na SUN GLASSES kunapicha hapo km wapo lab mshkaji stil ana miwani huu tena ni ushamba tena sn
mavazi pia dogo anaitaji somo sio kila mahali unaonyesha usharobalo wako mwana all in all big up sn