Jina lake la kuzaliwa anaitwa Charles Benedicto Halawa aka CBH, anapenda sana music na mavazi.
Hebu tumjue kiundani, wimbo wake unaoitwa BEST FRIEND aliurecord pale AM REC chini ya Producer Maneck. Wimbo huu ulianza kufanya vizuri sana katika club mbalimbali za hapa bongo huku wengi wao wakidhani ni wimbo mpya toka Nigeria.
Speed ya wimbo huu imekua ikimshangaza mana baada ya club ukaanza kusikika radioni. Haikuwa ngumu sana katika kukubalika kwake mana watu wengi waliamini kwamba wimbo sio wa hapa mpaka mwishowe alipoanza kufatilia katika kuakikisha wimbo unaenda radio zote.
Mengi yamesemekana wapo waliosema yeye ni mnigeria, wengine wimbo sio wake na wala ajaimba CBH.
Alikuwa akifanya interview nyingi kuhusu wimbo huo na amefurahi TZ imemuelewa.
Namnukuu: 'mimi ni mtanzania na wala sijabahatisha'

Mbali na mziki CBH ni TV Presenter under SBD Ent, i was also featured in Witnesz Album Khaya Khaya yenye nyimbo 12 ambayo imeuzwa nchi za nje na imefanya vizuri sana, na katika album hiyo CBH amefanya backvocal nyimbo 8.
Witnesz is ma blood sister na walizaliwa wawili tu, Eryne D Epidu ndio anaesimamia kazi zangu na tupo nae kampuni moja SBD ENT.
Thanx to DJs wote wanaopiga wimbo wake, DJ Choka,Auther KD from Aeges, SBD ENT, Girls wote wanaopenda wimbo wake.

SIKILIZA WIMBO WAKE ILI UJUE NINI JAMAA ANACHOKIZUNGUMZIA.
INGIA HAPO PEMBENI KWENYE NEW BONGO FLEVA.
6 comments:
Eebana mambo vipi? sijafahamu kama wanaburudani mnajua kazi mlionayo katika kuitambulisha Tanzania? Kila msanii anafikiria kukopi tu, sasa ni vipi tutapata utambulisho?
hivi Pimping Around the world ya LudaCris http://wwww.youtube.com/watch?v=HXLCOIcb41Y ukiiweka na Utata ya Lod Eyez + QChilla huo namba 9 na 12 kwenye New Bongo Fleva; Hazifanani?
Je first time ya Pipi na My Sweet love ya Wahu?
Naomba unielimishe tafadhali.
Just in case hauta peperusha comment yangu, write something ili nijue umeifanyia kazi.
Kiukweli kabisaaaa... mimni ni moja ya watu waliokua wakikataa kwamba huyu mtu sio wa bongo. Mwana usiogope fanya mambo Tanzania tuwe juu. Sisi utundu mkubwa hatuna kabisa. Mimi nimekubali mbaaaaaaaaayaaaaaaaaaaaaaaaaa. we nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaa man..
LAKINI MBONA UNAONRKANA KAMA MTU WA NIGERIA? Mimi siamini kama hiyo ngoma umeimba wewe, JK
macho yenu yanafanana. ha ha ha, una girlfriend? au ndio her bestfriend? wimbo umenigusa sana. nimeisha mpenda boyfriend wa rafiki yangu, ikwa soooo
we siulikua unatangaza HOT BRAND? Ukwapi siku hizi? i use to love ur show, rudi bana
SOOOOOOOOOOOOOOOO SWEEEEEEEEEEEEEEET HAAAAAAAAAAAAAAANDSOOOOOOOOOOOM. I LOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOVE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
Post a Comment