22.11.13

Saturday, July 17, 2010

MACHOZI BAND IJUMAA YA JANA.

7 comments:

Anonymous said...

JAMANI MAMBO YA KUSHUSHA SURUALI KAMA UNATAKA KWENDA HAJA KUBWA NI NO NO NO KINAKAKA WA BONGO, CALL ME MSHAMBA WHATEVER, SIPENDI KUONA MTU KAVAA HIVI, PLS ACHENI WAFANYE LAKINI SIO KUIGA IGA TU! UNAANGALIA PICHA UNAJISIKIA KUCHEKA! WALAHI KICHEKESHO KABISA, MAMBO YA KUBANA MATAKO NA MIKANDA KAMA MNASULUBIWA NDIO NINI! FASHION? JOKE KABISA.

Anonymous said...

DJ CHOKA,NAOMBA KUULIZA HAO WASHKAJI NI TEENAGERS??KAMA NI TEENAGERS SINA COMMENT.LAKINI KAMA SIO TEENAGERS AS NIWAONAVYO TELL 'EM TO GROW THE HELL UP,WANAVAA KAMA MA-GAY WA MTONI,MTU MWEUSI HAVAI HIVYO LABDA GAYS TU,WAAMBIE WAACHE USHAMBA...WANAMUONYESHA NANI CK FAKE HIZO...IDIOTS

Anonymous said...

picha ya kwanza wanaonekana wastaarabu ila hao micharuko wengine no no no, kwani tatizo laonini? na huyo kuvaa vest tena nyeupe ya kariakoo ndio ujanja gani sasa? miboxer fake tu yenyemajina ya watu maalufu mmmmmmn bongo wapi tunaenda??????????????fu@ck

Anonymous said...

nimempenda kijana mwenye t shert yenye mistali myeusi na weupe he look handsome and cool.....

Anonymous said...

halafu huyo dogo diamond hivi hana suruali nyingine coz kila mtoko au occasion namuona na hicho hicho kisuruali cheusi tena famba/fake anatia aibu!

Anonymous said...

teh tehe tehe mdau juu hapo hujakosea Diamond hako kasuruali too much hata km atajitetea km anazonyingi basi amefanya makosa kununua za kufanana akitoa iyo ni kale ka jeans keusi alikoendanako kwenye mambo ya maleria.
kushusha suruali kuna kule kwa kawaida ila huko kwa kuonyesha chupi ni kwa kitoto sa teenegers km alivosema mdau na chupi zenyewe basi lol sio za majina makubwa km arman,ck,bon jorv ni mitumba tu jamani ivi hamna madem wa kuwatonya?????

Anonymous said...

dj choka waambie washkaji zako waache ushamba wapige pamba kistaarabu sio kuonyesha vichupi vyao au chakula hao??mbona FA kavaa poa tu,na huyo mwenye miwani ya jua usiku ndio limbukeniiii,ana mapozi ya ki-gay gay,hovyooo.
dj najua msg yangu kali lkn iweke ili hawa watu wajirekebishe.