PALE WATOTO WAKISHUA WALIPOKUTANA NA KUANZA KUONESHANA THAMANI YA VITU VYAO.
1 comment:
Anonymous
said...
DJ CHOKA?first nakubali sana blog yako na updates unazoziweka evryday.Pia umefanya jambo lamaana sana kuweka hii clip ya hao wabongo flava.Nadhani Huo ni ushamba istoshe hakuna cha thamani hapo wanaonekana wako kawaida tu..sijui kama hawa wasanii wetu wanafanya research yakuvaa na updates za mara kwa mara juu ya pamba..wanaonekana wako kawaida tu sana bt wanafanya mambo yanakuwa makubwa...istoshe kwa age yao nadhani niwakati wakuvaa vitu vya ukweli,designer za ukweli si za china!! and let it go..

Post a Comment