22.11.13

Wednesday, November 04, 2009

XXL ILIVYOINGIA KITAA CHA KAWE NA KUPIGA STORI NA WASHKAJI.

Adamu akichonga na Rafiki na kumuuliza amejiandaaje na Fiesta.

Baby Madaha na Chidi Beenz wakiwa kwenye pozi la kistaa

Huyu mtoto aliyebebwa ni mchangamfuu sanaaaaaaaaa, anaitwa Bobby akiwa na Quick Racka

Washkaji wa Kawe wakiwa wanasubiri Serengeti Lager zao

Pale kiu kinapozidi

Hayaaa.

Usafiri wa Chidi Beenz aliotimba nao kitaa cha Kawe.

Washkaji wa Kawe wakichonga na Chidi Beenz.

2 comments:

Unknown said...

hongera chidi kwa usafiri wa ukweli

Anonymous said...

napenda sana wasanii wa bongo lakini sometimes think b4 you do something, haya baby madaha kavaa winter boots wakati kuna joto la kufantu bongo ndio nini? Dj choka washauri basi kidogo