22.11.13

Saturday, January 02, 2010

MSOSI WANGU WA LEO MCHANA...

Leo nilitembelea mahali fulani na ma homie Moracka, na menu letu lilikuwa kama hivi,
hapa ni kitu cha Nyama

Bwana wee hii hapa mtanisaidia kwa kweri daah

Pronsi kidogo si mbaya

Huyu samaki sasa usimpimie kabisa...hapa alikuwa amechambuliwa mifupa yote ndio kawekwa hivi bwana

Mtoto Moracka alichemsha, alikuwa anaanzisha ligi na mimi kwa kula.

5 comments:

Unknown said...

me hiyo samaki tuu...dah!:)

shamim a.k.a Zeze said...

mh yaani wewe nimekuvulia kofiaa...mie sikualiki kwangu...lol!!

Anonymous said...

ebwana mambo vp kaka....hiyo ilikuwa wapi nimemeza mate hadi basi kaka...msosi huo upo very naturally...tuambiane wapi hapo na sisi tutie maguu...peace!!

Kareem said...

Dah!!Wana Next Tym Mnialike Na Mimi Bwana!!!

Anonymous said...

Choka na Mo mtakula Nyoka ohoooo maana Chinese Fudo bana bora Prawns unamuona hilo fish isije kuwa snake picha la fish gelesha ohooooo nenda ukale Binti Machozi Restaurant utuwekeee ma Picz